TOGETHER

[email protected]


Member
Joined Apr 16 2010
Actions
Send a Message
Add as Friend
Flag as Inappropriate
General Info

FEMALE
tanga
Site Memberships

TOGETHER
Force Focus

About Me

Naitwa shufaa Yasini, nimezaliwa mwaka 1986, mkoani morogoro. Katika familia yetu mimi ni mtoto wa kwanza. Nina wadogo zangu 3. Kabila langu ni mhehe ila nimekulia sana tanga na kusoma tanga. Nimesoma shule ya msingi changa na sekondari nimesoma shule ya sekondari usagara. Baada ya kumaliza elimu ya sekondari mwaka 2006 sikufanikiwa kupata crediti ndipo mwaka unaofuata nikaamua kurudia masomo yangu na kwa bahati nzuri nilifanikiwa kupata crediti 3. Ila combi niliyokua naitaka sikufanikiwa nilipangiwa HKL nami sikuipenda. Ndipo mwaka unaofuata nikaamua kutuma maombi wizarani kuomba nafasi ya ualim nakufanikiwa nikapangiwa chuo cha ualim nachingwea. Na kwa sasa nipo mwaka wa kwanza. Matarajio yangu ya baadae baada ya kuhitimu ualim ninampango wa kujiendeleza kimasomo zaidi.

Post a Comment

Oops!

Oops, you forgot something.

Oops!

The words you entered did not match the given text. Please try again.

You must be a member to comment on this page. Sign In or Register

0 Comments